PENZI LANGU 05

Maisha ya Suma na nadya kwenye nyumba ya nadya yaliendelea na Suma hakua mnyonge Tena,kifupi alimtolea uvivu kabisa Kila anapohitaji Nadya Suma humpa kile anachohitaji Tena Kwa Kasi hasa.









kifupi Suma alishakubariana na Kila kitu kuhusu Nadya na kusahau kabisa kuhusu Aisha.










maisha yaliendelea hivyo na Suma alikua anafanya Kila kazi pale ndani kwa Nadya kiasi kwamba hata usiku Nadya alihitaji penzi la Suma ,Suma hua anakua amechoka saña japokua anampa anachohitaji lakini Nadya alikua haliziki kabisa.



upande wa kijijini pia Aisha na mama yake Suma walikua na furaha ya kujiandaa kwaajir ya kwenda mjini.







mama yake Suma akazungumza



"kwahiyo Aisha utakuaje kuhusu mashamba yetu na mazao ambayo tunayaacha na vipi kuhusu nyumba yangu na vitu vilivyomo ndani?"







"mama usijali kuhusu Chochote maana Kila kitu tayari nimeshaandaa sababu kwanza hapa nyumbani nimeongea na msichana ambae atajua anaishi pia kule shamba nimemuachia maagizo yote ambayo ni sahihi"




kama ni hivyo sawa nimekuelewa kama ni hivyo Sasa tunaweza kwenda"







wakiwa wamekaa mama yake Suma akamuhuliza



"mbona hatuendi stendi?"



"mama hatutamuia gari la watu wote tutatumia gari binafsi"







kabla Aisha hajamaliza kunielekeza mara ilifika gari aina ya BMW kisha Aisha akamwambia



"gari hiyo hapo twende mama


mama Suma aliamka na Aisha alimfungulia mlango wa nyuma na mama Suma akaingia kisha akachukua mabegi Yao na kuweka kwenye Buti kisha ye akaingia kwenye gari kisha safari ikaanza Huku wakipiga story za hapa na pale.







hasa Aisha alikua anamuhuliza huyo dereva kuhusu kulivyobadirika huko mjini,mama Suma alikua Hana Cha kuhuliza sababu hakua anajua Chochote kuhusu Jiji hilo hivyo alikua kimya tu.







ilikua siku ya jumamos Nadya akamwambia Suma



"Leo nahitaji kutoka na wewe mpenzi si tunatoka pamoja eeh?"



"aah Nadya mie siwezi kutoka"



"kwanini?"



"lakini...."


Suma hakuna Cha lakini lazima tutoke kama wewe ni mpenzi wangu hivi hutaki marafiki zangu wakujue shemeji Yao?"


"aah sawa kama umeamua hivyo nipo tayari"




basi Nadya alifurahi saña Baada ya Suma kukubali kutoka nae.




maandalizi yalikua pambe tu nadya alimtolea nguo Suma na kumwambia


"baby hizi nguo nimekununulia mda mrefu lakini nilisahau kukupatia sababu ya mambo kuwa mengi"




"ooh asante saña Nadya wangu ndiomaana nakupenda saña"


"usijali bwana basi Wacha nikaoge kwanza maana hili joto ni lahatari"


Nadya aliingia chumbani na kuweka vizuri nguo ambazo zimo kwenye kabati like ambalo ametoa nguo na kumpatia Suma kisha akafunga kabati na kurudisha funguo kwenye handbag yake.




aliingia bafuni alioga kisha akabadirisha nguo na kutoka sebleni akamkuta Suma ametulia zake kwenye sofa ,Nadya kama kawaida yake yaani hupenda saña kumtumiia Suma wakati anajua mwenzake amechoka.




alienda kukaa karibu nae Huku manukato nzuri ikinukia na kikanga chake kifupi,Suma akamuhuliza


"mbona umevaa hivyo Nadya unataka nini?"


"Suma inamaana hujui nachotaka kwako hivi we ni mwanaume wa aina Gani lakini eeh wenzako wengine wanatamani waoate kutwa mara tatu kwa kila siku lakini we unajilegeza tu hapa aah ohk basi am sorry"


Nadya alikasirika na kuingia chumbani kwake alivaa viatu vyake na nguo zake nzuri ambayo ilimpendeza vema saña Kisha akatoka na kumwambia Suma




"me naondoka zangu na kuhusu kutoka na wewe nimebadirisha wazo langu hivyo nitakukuta Kwa heri"








Nadya aliondoka zake na kumwacha Suma akiwa hajali Wala Nini.








kama mjuavyo safari ya kutoka tabora Hadi dar hua ni safari ndefu saña watumia trein hufika kama sio siku tatu au nne inategemea,hivyo hata Aisha na mama mkwe wake siku hiyo hadi inafika usiku Bado walikua njiani ikabidi Aisha atafute hotel ya karibu Ili kuweza k

upumzika usiku huo.

mama mama amka basi tumefika hotelin twende ukajinyoshe kidogo"








"hapana mwanangu usijari mimi nimeshalala hapa panatosha"








basi Baada ya mama Suma kusema vile Aisha hakua na jinsi ikabidi tu na wao washushe siti zao waweze kulala kwenye gari mle mle.








upande wa Suma alikua amewakumbuka saña familia yake na zilipita kama wiki 4 hivi bila ya kuwasiliana nao na kwasababu hakua na simu lakini tayari Nadya alimfantia shopping ya vitu muhimu hivyo ikiwemo na simu.








aliingia chumbani na kuchukua suruali yake ambayo alikua amevaa wakati amefika hapo na kusachi kwenye mfuko na kukuta karatasi ya namba akachukua simu na kubifya sehemu kadhaa kisha akaingiza namba na kupiga.








simu ambayo ilimshtua Aisha kutoka usingizini alipoke

a na kuzungumza na Suma Kwa furaha saña




vipi mpenzi wangu tumekua na wasiwasi saña kuhusu wewe kwanini ulikua kimya saña?"


"aah Aisha jamani nimekumisi pia mkewangu lakini kama unavyojua mambo Bado yameniwea magumu lakini afadhali Sasa kua nimepata simu tayari nivumilieni kidogo nitakua nawatumia pesa ya mahitaji mkewangu"


"Suma nakupenda sana mpenzi wangu zaidi ya sana naomba usinisaliti mwenzio nitaumia sana"


"aah .. a..Aisha siwezi kukufanyia hivyo najua wapi tumetoka mpenzi wangu"


"basi sawa pumzika kipenzi changu"


Suma alikata simu hku akiwaza kua tayari Aisha amemdanganya na vipi kuhusu mama yake kuanzia hapo Suma alikuaa nawasiwasi sana na mawazo yalikua mengi kupitiliza.




ilikua yaoata majira ya sa7 usiku Nadya alirudi akiwa amelewa sana siku hiyo,Suma alimshangaa sana sababu hakuwahi kumuona kabla Nadya akiwa yupo hivyo,alimchukua na kumpelekea chumbani akamlaza kitandani akamvuta viatu na kumfunika shuka kisha akawa anamtazama tu hakua amemuhuliza Chochote kile.




alitoka sebleni akiwa Bado anawaza saña.


asubuh mapema aliamka mapema na kufanya usafi kwenye nyumba mzima kisha akaandaa supu kwaajir ya nadya kisha akaenda kumwamsha Nadya aliamka na kumkumbatia Suma na kumwambia




baby nimekumiss sana mwenzio"


"Nadya kipenzi amka ukaoge kwanza kisha nimekuandalia kitu ambacho kitakusaida kukuweka sawa basi amka usiwe mvivu"


Nadya aliamka na kuingia bafuni alioga maji kisha akarudi na kubadirisha nguo kisha akatokea sebleni na kukuta mambo ya supu mkate na mayai alikula na kumshukuru sana Suma 


"Suma mpenzi Asante saña Kwa kunijari pia nisamehe kwa kilichotokea Jana sikutegemea kufanya vile ila nilikutana na mara fiki zangu ambao walipa vishawishi Hadi nikanywa kupitiliza"


"usijari kuhusu Hilo Nadya wangu nakupenda sana"


Suma alisogea karibu na nadya na kum'busu kwenye lipsi zake kisha akaondoa vyombo na kuiweka kwenye vyombo vichafu kisha akarudi kumwambia


"Leo kwakua jumapili basi nenda kapumzike Mimi namalizia kazi kisha nitakuja pia"


"really baby?"


"ndio nitakuja"


Nadya aliingia chumbani kwake na kujituoia kitandani alitoa Ile khanga aliyokua amevaa na kubaki mtupu akajifunika shuka akimsubiria Suma wake.



upande wa safari ya wahamiaji kutoka kijijini ilikua imetaradadi pia dereva alikua anakanyaga mafuta sio poa Huku story za hapa na pale zikiendelea.


Aisha alikua anawahulizia marafiki zake majirani Huyu dereva alikua anampa story mbali mbali ambazo zilikua zinamfurahisha sana Aisha na kumuhuzunisha pia.


Suma alimaliza kusafisha vyombo kisha alikaa sebleni akiwa anawaza


"hivi Nadya ananichukuliaje Mimi,kwanini ananitumikisha sana kingono hata kama nikimwambia kua nimechoka yeye Bado hunihitaji tu tatizo lake nini hasa mbona nashindwa kabisa kumuelewa Huyu mwanamke..mmh naona Huyu dada ananitumia pasi na mafanikio yoyote mana kama anaenipenda asingeniweka tu ndani kama mfanya kazi wake sawa nakula nalala lakini Sina Imani nae kabisa lazima nichangamke sikuja Huku kufata mapenzi nimekuja kufanya kazi kwaajir ya familia yangu Sasa nikisema nibweteke mama yangu na Aisha wangu watapata shida sana eeh Mungu nipe ujasiri kijana wako"


je unadhani itakuaje usikose itaeendelea....